Umewahi kuvuta bangi alafu muda huo huo ukatembea barabarani? Mwendo wake unauonaje?

Umewahi kuvuta bangi alafu muda huo huo ukatembea barabarani? Mwendo wake unauonaje?

bafetimbi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Posts
1,085
Reaction score
1,741
Huwa napenda sana baada ya kugonga msosi wa nguvu mchana mida ya saa saba, naingia chemba naulipua mjani wangu msumari mmoja tu mnene.

Nikishaumaliza muda huo huo napiga mswaki kisha naelekea kwa mshkaji wangu mmoja hivi kwake pana kamwendo hivi. Sasa na lile jua la mchana mixa na mjani dry umeshaenea kichwani nikitembea naona kama wale ma monki wa kichina wenye imani kali ambao wakitembea huwa hawakanyagi chini, wanapiga hatua lakini hewani hewani hiyo.

Sasa mimi nikishakula mjani kisha nikatembea kwenye jua kali kuelekea kwa jamaa yangu kule ndiyo nautembea mwendo ule sasa kama wanaotembea wale ma Monki wa kichina, huwa napenda sana nikitembea ule mwendo wa ki Monki maana fasta nakua nishafika kwa jamaa hadi anashangaa, wakati ni parefu balaa, maana nauli kwa boda boda hadi kwake ni sh 5,000/=, lakini mimi nafika pale ki Monki tena bila vumbi wakati raod ya kwenda kwa jamaa ina vumbi si la kitoto.

Hivi unapata picha ya ninachosema kweli? Umewahi kuona zile muvi za kichina wa vijijini kuna wale wazee wananyoa vipara wale, hawana hata mademu wale. Wenyewe ni kutulia tu halafu wanatembea hewani kwa spidi ya mwewe, wale ndiyo ma Monki sasa. Wala hawatongozi mtu jamaa wawatu hawataki madem kabisa, wenyewe ni kuvaa mashuka na kutembea hewani.

Mwendo wa ki Monki una raha yake sana.

Hivi kibongo bongo unaweza ukawa Monki kweli?

Au ni mpaka uende kule kule?
 
Bongo unaweza ukawa Monk ukishakula mmea saa saba za mchana jua likiwa la utosi pekee.
Ndiyo maana huwa napenda sana kula mjani mchana wa jua kali ule mwendo ni mtam sanaaa
 
Ganja ni dawa, asiyewahi kuitumia hawezi kuwa msimuliaji wa mazuri ya mjani na faida zake zaidi ataongea usen*e tu..lakin si wavutaji wote waopata yale matokeo chanya, wengine inawakataa, na baadhi ndio hao akishatumia na akili inabadilika mpaka mwendo, ila amin Tanzania hii naweza sema wanaotumia Ganja ni wengi kuliko sigara, huwezi jua hili kama sio mtumiaji..mimi dawa natumia japo kwa kazi maalum nilishindwa tumia muda wote sababu ukifanya hivyo utayamba mpepo.
 
Ni mwendo wa kumoka tu tariff,,saiv nimezidisha hadi nahisi kuchanganyikiwa coz najidunga kama sticks 3 nzito mornie,Mchana na night na wana uku tunakula ngoma za mbele tu mamake..Dawa ina raha yake maana imebarikiwa...Wajomba tuleni Sakramenti maana ata wakati wa Mussa kwenye Maandiko inasemekana Yale majani yaliyokua yanaungua ilikua ni dawa ile'mjanimaica'
 
Back
Top Bottom