JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Matarajio yaliyokithiri juu ya jambo au mtu fulani huweza kupelekea msongo wa mawazo kwakuwa yasipotimia unaweza kuumia sana
Hivyo usitegemee kupewa furaha na wengine, tafuta njia zako binafsi za kujifurahisha