J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 685 Reaction score 1,124 Apr 24, 2021 #1 Matarajio yaliyokithiri juu ya jambo au mtu fulani huweza kupelekea msongo wa mawazo kwakuwa yasipotimia unaweza kuumia sana Hivyo usitegemee kupewa furaha na wengine, tafuta njia zako binafsi za kujifurahisha
Matarajio yaliyokithiri juu ya jambo au mtu fulani huweza kupelekea msongo wa mawazo kwakuwa yasipotimia unaweza kuumia sana Hivyo usitegemee kupewa furaha na wengine, tafuta njia zako binafsi za kujifurahisha
Ferruccio Lamborghini JF-Expert Member Joined Apr 15, 2020 Posts 1,667 Reaction score 2,595 May 19, 2021 #2 Hayawahusu
vi mbele Member Joined Aug 12, 2016 Posts 6 Reaction score 6 May 28, 2021 #3 Kuumizwa hakuna ujanja bro, weza tumia kila njia mwisho wa siku ukaangukia pua
Mine eyes JF-Expert Member Joined Apr 11, 2016 Posts 6,496 Reaction score 7,162 Jul 1, 2021 #4 Nilitaka kufa...
Threesome3 Member Joined Jun 27, 2021 Posts 74 Reaction score 59 Jul 5, 2021 #5 Ferruccio Lamborghini said: Hayawahusu Click to expand... Kwa kweli[emoji4]
Threesome3 Member Joined Jun 27, 2021 Posts 74 Reaction score 59 Jul 5, 2021 #6 vi mbele said: Kuumizwa hakuna ujanja bro, weza tumia kila njia mwisho wa siku ukaangukia pua Click to expand... Aisee[emoji1]
vi mbele said: Kuumizwa hakuna ujanja bro, weza tumia kila njia mwisho wa siku ukaangukia pua Click to expand... Aisee[emoji1]
Threesome3 Member Joined Jun 27, 2021 Posts 74 Reaction score 59 Jul 5, 2021 #7 JamiiTalks said: View attachment 1762423 Matarajio yaliyokithiri juu ya jambo au mtu fulani huweza kupelekea msongo wa mawazo kwakuwa yasipotimia unaweza kuumia sana Hivyo usitegemee kupewa furaha na wengine, tafuta njia zako binafsi za kujifurahisha Click to expand... Ndyo hivo yaan[emoji18]
JamiiTalks said: View attachment 1762423 Matarajio yaliyokithiri juu ya jambo au mtu fulani huweza kupelekea msongo wa mawazo kwakuwa yasipotimia unaweza kuumia sana Hivyo usitegemee kupewa furaha na wengine, tafuta njia zako binafsi za kujifurahisha Click to expand... Ndyo hivo yaan[emoji18]
Zuleykha JF-Expert Member Joined May 20, 2016 Posts 1,247 Reaction score 1,815 Jul 12, 2021 #8 Muda unaoweka matarajio juu ya mtu naweza kusema unaweza ona ni yeye tu ila akija kukuumiza kwa kutarajia juu yake ndo unashtuka and is too late.
Muda unaoweka matarajio juu ya mtu naweza kusema unaweza ona ni yeye tu ila akija kukuumiza kwa kutarajia juu yake ndo unashtuka and is too late.