tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,931
- 15,849
Wakuu,kwenye mahusiano tunakutana na watu wa aina mbalimbali na wakati mwingine unaweza kukutana na mpenzi ambae wakati wote wa mahusiano yenu utajikuta mambo yako yanaenda safi sana yani kila jambo unalokua unalifanya linakua linafanikiwa hapo tunasema huyo uliyenaye ana kisimati na pia wakati mwingine unaweza kukutana na mtu ambae utajikuta mambo yako hayaendi vile unavyotaka kabisa,yani kila jambo unalojaribu kulifanya linakwama na unaweza kujikuta hata unatimuliwa job hapo tunasema unakua umekutana na mtu mwenye nuksi.
Je wewe mwana jf umewah kukutana na mpenzi au uko na mpenzi wa aina gani kwa sasa?
Je wewe mwana jf umewah kukutana na mpenzi au uko na mpenzi wa aina gani kwa sasa?