Msala pekee ninao ujua na kuugopa ni pale nilipo wapeleka mahakamani ndugu wa marehemu mzee.
kesi nili shinda, ila wali nipiga juju ya kiutu uzima akati ndo kwanza nilikuwa na miaka 20.
Picha lina anza uki lala una ota una kabwa, uki amka mwili una toka jasho na alama za mikono shingoni.
Mara kichwa kiume hovyo, yaani saa 1 asubui mzima ila saa 4 wa kubeba.
Ostazi na msaidizi wake wali nisomea Dua, ila wote tuli sinzia 😂😂.
tukaja kuamshwa na muongeza ubani.
Good thing nili maliza hii ishu kwa style za kina tony soprano, castelano au Michael Corleone.