realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Hakika katika maisha ya kawaida kukwaruzana kupo as long as bado tunaishi.
Watu wanakosea watu kwa kujua ama kwa kutokujua.
Mwingine anaweza kukufanyia kitu kibaya na hadi ukashindwa kufikia malengo yako kisa yeye.
Duniani vikwazo vipo hasa vya hapa na pale.
Sasa mtu anaweza kukukosea akiwa hajui badae atahijataji msaada wako.
Je, watu hao waliporudi hata bila kuomba msamaha kutaka msaada wako uliwasaidia? Uliwezaje? Tunaomba uzoefu.
Dunia ni Duara wote tunategemeana na tunapaswa kuishi kwa amani wakati wote.