Umewahi kuwaza hivi???????????????????????????????

charger

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
2,320
Reaction score
1,371
Umewahi kuwaza hivi kuhusu babu wa Loliondo?

1.Dawa yake inathibitika kuponya HIV/AIDS

2.Dawa yake inakuwa promoted kuzalishwa in large scale

3.Waathirika wote duniani wanatumia na kupona

4.Dunia inakuwa HIV/AIDS FREE

Tunakuja upande wa pili wa shilingi,hali ya sasa ya uzinzi licha ya kuwepo kwa AIDS na ndugu zake inatisha inakua kama vile hakuna tishio lolote kwa binadamu.Sasa ikipatikana hii dawa situtashuhudia mambo ya ajabu sana jamani?Au mnaonaje?
 
Babu ameshasema ukipona unaacha uzinzi na ukipata tena kwaheri,kikombe cha dawa ni mara moja tu.
 
amesema hakuna ''doubledouse'', the reinfected are never cured with the Babu's dawa:ballchain:
 
Nami picha ninayoiona siwezi hata kuelezea.....! Maana nahisi biashara ya ngono itaruhusiwa kila kona, na watu kuanza kufanya hadharani..........!
 
uporoto Umeziona hizo hypothesis lakini?dunia iwe haina tena ukimwi
Babu ameshasema ukipona unaacha uzinzi na ukipata tena kwaheri,kikombe cha dawa ni mara moja tu.
 
uporoto Umeziona hizo hypothesis lakini?dunia iwe haina tena ukimwi

Hahaha! kwahiyo tutarudi kupiga nyama kwa nyama na kinadada wapate protein waliikosa siku nyingi si unajuwa mambo ya condom lol!
 
Umewahi kuwaza hivi kuhusu babu wa Loliondo?

1.Dawa yake inathibitika kuponya HIV/AIDS

2.Dawa yake inakuwa promoted kuzalishwa in large scale

3.Waathirika wote duniani wanatumia na kupona

4.Dunia inakuwa HIV/AIDS FREE

Tunakuja upande wa pili wa shilingi,hali ya sasa ya uzinzi licha ya kuwepo kwa AIDS na ndugu zake inatisha inakua kama vile hakuna tishio lolote kwa binadamu.Sasa ikipatikana hii dawa situtashuhudia mambo ya ajabu sana jamani?Au mnaonaje?

Haya mambo ni yakufikirika zaidi, kiuhalisia sio rahisi!

Nafikiri kwa babu pia, ukipata kikombe halfu una mpango wa kuendelea na uzinzi, sidhani kama kuna kupona hapo!!!!
 
Back
Top Bottom