Niliweka nikatoa million 1.35....Kila nikijaribu huwa nashindwa
Navunja
Nimejitahidi hiki cha sasa kina miezi mitatu na niliweka nia niweke kwa miaka miwili elfu 5 kwa siku.
Sasa kila nikiingia ndani roho flani inaniambia kumbuka una kibubu.
Kama uliwahi Fanya hii kitu uliwezaje kufikia lengo bila kukivunja.
Usitumie kibubu unaathiriwa na inflation.Kila nikijaribu huwa nashindwa
Navunja
Nimejitahidi hiki cha sasa kina miezi mitatu na niliweka nia niweke kwa miaka miwili elfu 5 kwa siku.
Sasa kila nikiingia ndani roho flani inaniambia kumbuka una kibubu.
Kama uliwahi Fanya hii kitu uliwezaje kufikia lengo bila kukivunja.
Banks zina 3 types of accountsNitajaribu ila makato
OkyBanks zina 3 types of accounts
1. Current accounts
Huwa na makato.
Hazina interest yoyote.
2. Saving accounts.
Hazina makato
zina interest kwa kipindi Fulani.
3. Investment accounts.
Kama fixed na flex accounts.
Zina return for your investment
Hazina makato.
#YNWA
chuma ulete inaiba hela.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kivipi nikute elfu 2 wakati naweka elf 5 kwa siku
Hivi hiyo chuma ulete haiwezi kufanya kazi benki?chuma ulete inaiba hela.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Kila siku ilikua lazima niweke kiwango chochote ndani y kibubu,,,ila niliboresha ulinzi wa chumba,,,,na kibubu kilikua cha chuma so ili ukivunje lazima uende kwa fund welding ila hakikisha kisivushe miezi minne-sita ukikivunja pesa unaweka benk on fixed account unaanza upya tena.Uliwezaje
Hahahaa nakaziaMkuu kuweka kibubu ndani ni sawa na kuishi na mwanamke mrembo kitanda kimoja bila kumgusa,,,,ni ngumu mno mkuu,,
[emoji81][emoji81][emoji81].Sitasahau nilikuwa naweka za 1k,2k,5k na 10k kwenye kibubu akaja dogo toka school likizo kukaa kwangu akakiona akawa ananichora tu.Siku wamefungua dogo akaenda sokoni akakinunua kibubu kinafanana kinoma akabeba chenye hela akaniacha kitupu,Sikugundua mapema Kama kimebadilishwa nikaendelea kutupia noti huku nakadiria kuwa kitakuwa na 500k.Siku moja nikakishika nikasema mbona kibubu hakiwi kizito na ni miezi mitano.Nikakivunja we nilikuta kuna 52k.Ilibidi Michele kwanza nikajua chuma ulete kuja kukiangalia vizuri kumbe kilibadilishwa daah we dogo sitakusahau aisee.