Umewahi kuzielewa picha za CEO wa Simba, Barbra?

Sasa akikaa kimya bila kuonekana tukiuliza yuko wapi mtujibu pia siyo kusema yupo ofisin anachapa kazi ameshatuzoesha kumuona kwenye mitandao

Maana tukihoj Sana yuko wap mnatutisha mara msiwe na hofu klabu ina Aman tuchape kaz

#yuko wapi CEO wa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…