Umewahi lizwa? Unaambiwa huyu kuku wa kienyeji kuja kula unakuta wa kisasa!

Umewahi lizwa? Unaambiwa huyu kuku wa kienyeji kuja kula unakuta wa kisasa!

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Nimelizwa kama mara tatu hivi. Mbaya zaidi hata baada ya kula na kumwambia unakuta bado muuzaji anabisha. Utasikia ni 'kienyeji sema ni majogoo wakubwa kutoka Singida, Sumbawanga etc'. Pia wauzaji wengi ukiwauliza huyu ni kuku wa kienyeji au wa kisasa atajibu kienyeji wachache sana husema ukweli. Siku hizi nemeacha kabisa kuku za kununua. Umewahi kutana na hii ishu?
 
Mkuu kuku wa kienyeji mtamu sana IMG-20171026-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom