<br />Hapana mkuu wala hakuwa size yangu, japo yeye hakuwa anachagua!
Hii nayo ni hatari aisee...maeneo ya stesheni,city centre kuna police wa central huwa wanatega kibinti kidogo<br />
hivi lakini kimevaa kichangu doa hivi.....ukikitokea hivi<br />
ukaenda nako gesti hivi,polisi wanakuja kukumata,kesi ya kubaka mwanafunzi....<br />
usiwape pesa kwa nini?????lol