Umewahi Sikia Hii??

Vipi ulikuwa umeanza kumuweka kwenye mahesabu?? Nawe zingekutoka laki 5!!!
 
Katavi shkamoo.
Ngoja nikusaidie kupokea wageni
Leo
....... hapa pagumu nakimbia... 🙂
 
Katavi shkamoo.<br />
Ngoja nikusaidie kupokea wageni <br />
Leo<br />
....... hapa pagumu nakimbia... <img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/smile.png" border="0" alt="" title="Smile" smilieid="307" class="inlineimg" />
Karibu...
 
Kweli akili kichwani mwako....

huu ni mshahara mdogo wa dhambi...............wahusika wote wanapaswa kupata adhabu kamilifu ambayo ni kifo....
 
Jamani mjini hapa kila mtu anajua anaishije..
 
Mashetani yamepanda yamekuja na mapanga. Hata ukienda kwa mganga na mizimu yote itaganda.
 
maisha magumu sana....
jamani maisha magumu hadi umweke mkeo rehani? ujinga na kutanguliza njaa kwa kila kitu. sasa mkewe akifariki si jamaa ataingia mwenyewe mzigoni wakamchakachue wahuni wa mjini!
 
jamani maisha magumu hadi umweke mkeo rehani? ujinga na kutanguliza njaa kwa kila kitu. sasa mkewe akifariki si jamaa ataingia mwenyewe mzigoni wakamchakachue wahuni wa mjini!
Yaani hawa wanashangaza, hata kama ni ugumu wa maisha....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…