Umewahi sikia uchawi wewe, basi huu ndo uchawi wenyewe

Mbeya huko unaambiwa kinyesi kilikuwa kinaanguka toka kwenye dari bila ya kuona mtu.



Hichohicho kinyesi chao ndiyo dawa yao hao wachawi, chukua kinyesi changanya na mti fulani halafu unakiweka ndani ya kiloba na unafunga hicho kiloba kwa mpira, wakati unapofunga hicho kiloba ndipo huyo mchawi "tundu" lake nalo linafunga, hatoenda choo hadi uufugue huo mpira. Itabidi akutafute,🤣🤣

Mshana Jr
 
[emoji23][emoji23][emoji23]haya ni mazingaombwe kwa jina la uchawi
 
Ndio akili zetu zimesihia hapo!
Inasikitisha kwa kweli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…