Umewahi?

hivi kwani kuna sambusa ya pembe mbili au moja?labda uulize kama tumewahi kula sambusa.me sijawahi hebu nieleze huo utamu wake ati!

Utamu wake hausimuliki asilani mlaji ndiyo hufaidi utamu mkuu
 
mmmmmmh!gulio katerero au?
mzigo wako ninao wala usikonde, nisahau tena shost?nipe logistics za kukutana nikukabidhi!
ahh tokapa
njoo uku pm mwaya
apa watu weng
rr akijua venue tutakayomit anaweza agiza polis wakuchukue
 
ahh tokapa
njoo uku pm mwaya
apa watu weng
rr akijua venue tutakayomit anaweza agiza polis wakuchukue

Ila kweli, sipendi kesi mimi,nipe dk.5 tu!then utanikuta mjengoni
 
ngano yake iwe imekandwa kwa nazi ya kukunwa wewewewewe

halafu ikate kwa mkasi kabla hujaivingirishishia nyama na kuipika

sijapata kuona hii ladha nayoisikia
 
kuna jamaa akikula sambusa ya moto ilikuwa hijapoa alibabuka mdomo, ila ulimi upo fresh, nilimwuliza vp? akasema sambusa nyingine nyama nyingi na alikuwa na njaa asubuhi akalala haraka, kula sambusa utaalamu si kupeleka tu mdomo bila kupima temperature
 
Alaf sambusa tamu ukila kutokea upande wa hypotenuse. Au 45¤ kutoka pembe mojawapo. Kula sambusa ni utaalamu bwn!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…