Umewai kushuhudia/kuona kitu gani cha ajabu kwenye maisha yako ambacho hutosahau?

Umewai kushuhudia/kuona kitu gani cha ajabu kwenye maisha yako ambacho hutosahau?

Nliwahi kutana na binadamu wa ajabu usiku nikiwa na mdg wangu nlikuwa form 2 enzi hizo usiku wa saa 2 aliwaka upande mmoja wa ubavu wa uso kama chuma kilichowekwa kwenye moto, cha kushangaza tulipishana nae na watu wengine wanatembea katika wote mimi ndio nliona hilo tukio hata dogo nlimwonyesha anasema haoni kitu nlikatwa jicho moja kali tukakimbiaa.
 
20230505_190338.jpg
 
Back
Top Bottom