Umewasikia WanaSimba! Wanasema 8/5/2021 siyo mechi bali ni siku ya mazoezi kwao kujiandaa na Kaizer Chiefs

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau

Siyo maneno yangu ila nimewanukuu wapenzi wa Simba muda mfupi ulipita kupitia Luninga.

WanaSimba Wanasema.

Kwamba Mei 8 watakutana na Yanga kwa ajili ya mazoezi kujiandaa na mechi na Kaizer Chiefs.

Kwamba wanaYanga wote wenye pressure wasiende uwanjani siku hiyo!
 
Ni kweli Jmosi ni siku ya mazoezi, tunasubilia mechi ya pesa hii ya 40Mfc tumesha zoea tunajipigia tu.
 
Kujiamini sana ndiko kulikomponza Yuda Eskarioti aitwe msaliti hadi leo. Nigeria nao wolrdcup ya mwaka 1998 walijiamini sana wakaanza kucheza na Brazil kabla hawajacheza na Paraguay maana waliona teyari huyo wameisha mfunga matokeo yake wakapwiga bao 4- 1 wakafungasha vilago. Na Simba nao wameanza kucheza meche na Kaizer chief kabla ya kuchaza na Yanga, haya tusubiri tuone.
 
Weka kumbukumbu sawa walifungwa na Denimark
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚Kidogo nimtag mtu
 
Ni kweli Jmosi ni siku ya mazoezi, tunasubilia mechi ya pesa hii ya 40Mfc tumesha zoea tunajipigia tu.
Unakumbuka lakini mara ya mwisho kunifunga ligi kuu ilikuwa mwaka gani?
 
Sikumbuki ila nakumbuka Mtani usha kufa 5 zero, harafu mwaka juz FA 4G, koo 40M fc jiandae tu
Umesoma vizuri nilichouliza? Kuhusu hizo 5 huenda umeanza juzi kuzifatilia hz timu deni unalonidai mtani ni 6 zile 5 za 2012 ulikuwa unalipa deni mm ndie wa kwanza kukuweka goli 5 ukisema nisilete mambo ya historia basi wewe pia usiongelee hzo 5 ni kitambo takribani miaka 9 sasa mm ni mwanasport si shabiki maandazi nakumbuka tulikula gongo 4 fa kwenye ligi pamoja na ubovu wangu misimu yote mitatu hii unakumbuka mara ya mwisho kunifunga ilikuwa lini? Kwa sasa simba iko vizuri huu ni ukweli mchungu lakini point yangu si mm wa kunipigia pira biriani refer mechi 3 za mwisho tulizokutana nakujua vizuri sana mtani kiukweli ule mpira mwingi huwa unaupiga na akina as vita ahly ilipaswa nikuogope mtani nisilete timu taifa lakini ona kinachotokeaga taifa sometimes huwa napata mashaka ule mpira ni kiwango chako halisi au kuna vitu unaongezea ongezea? Mbona ukicheza nami sioni hilo biriani? msijiamini sana hii ni derby lolote laweza tokea japo nakiri siko vizuri hii si yanga ya misimu minne nyuma lakini kumbuka hii ni yanga
 
Itakuwa kweli mkuu
 
Wewe ni miongoni mwa mashabiki wachache sana wa Yanga wanaojitambua.
 
40m fc biriani utaliona J mosi achana na Mapinduz Cup ya akina DUCHU, saivi utapigiwa biriani, sharubati vyote mchanganyiko mtani koo jiandae tu kisaikolojia 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 yaani mtani utakufa vibaya sana

sisi derby ndo tunazitaka ndo mechi zetu achana na prisons wanao wanakamia na pira kwata lisilo na formula mradi tu wapate kusimulia watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…