inanipa shida kuelewa,hawa ccm wanataka nini maana wananchi wamewakataa lakini bado wanang'ang'ania tu, wakumbuke hii nchi ni yetu sote wasidhani ni yao na vizazi vyao. wakurugenzi wa aina ya wilson kabwe,fuime na wa arusha waelewe hiyo kazi waliyonao ni dhamana isiyo na uhakika, wao hawana ubora hata robo wa tido mhando, wamemfanyia hila mhando itakuwa wenyewe.wao kuwaondoa ni sawa na upepo unavyopeperusha vipande vya karatasi. kabwe na wenzake wamepoteza heshima mbele ya jamii nadhani hata familia zao zinawashangaa.