Hapo wanavutia kwenye mambo ya kisiasa,wanaacha mali asili.
Hapana msi panic, ardhi siyo suala la muungano na hivyo halipaswi kuwa katika katiba ya muungano.
Hilo litashughulikiwa na serikali washirika. Kwahiyo Tanganyika itashughulikia ardhi yake kama znz, ndiyo maana hulioni katika rasimu. Rasimu ya Tanganyika ndiyo itakuwa na suala hilo.
Ni kama elimu ya juu na ajira vyote vimeondolewa.

taratibu ndugu hakuna aliyeleta shuzi zake kwenye mada hii. hii mada imewekwa ili kila mmoja aseme hisia na mawazo yake. usiwafunge watu midomo acha waseme! kama katiba hiyo haitogusa na kueleza bayana juu ya raslimali za Tanganyika basi tunaitaka Tanganyika yetu na katiba yake!Umewajibu vizuri sana mkuu.
Watu wanakurupuka sana kupost thread ili waonekane nao wanajua mambo fulani! #muwe mnasoma na kuelewa kabla ya kuleta shuzi zenu.
Umewajibu vizuri sana mkuu.
Watu wanakurupuka sana kupost thread ili waonekane nao wanajua mambo fulani! #muwe mnasoma na kuelewa kabla ya kuleta shuzi zenu.
Tatizo watu hawasomi kama kawaida ya watanzania, mmeambiwa someni rasimu na mmepewa wiki tatu karibu zinaisha hamjasoma mnabaki kulalamika kama kawaida yenu watanzania.aliyewaloga watanzania ni yule aliyechakachua mtaala wa elimu, kamali kabisa. Nawasihi msome mimi nimeanza tangu jtatu nimefikia sura ya tano ,mdogo mdogo hadi nimalize nijenge uelewa.