Umiliki wa shamba kando ya ziwa

Umiliki wa shamba kando ya ziwa

Wapi Bukumbi kule kigongo ferry au?maana kuna sehemu na sehemu au ni mji gani,lakini nijuacho hakuna umbali unaopaswa kuendesha shughuli zako za kiutafutaji kando ya ziwa japo ukiingia zaidi ziwani au ukifanya jambo litakaloharibu mazingira na kusababisha viumbe wa majini kua ktk msuko suko utapaswa kua na kibali maalum na kama sivyo utachukuliwa hatua.kama ni unalima tu mboga mboga na mazao mengine kwa maana ya umwagiliaji haizuiliki..zaidi ya yote nenda ofisi ya wizara ya mambo hayo ukaulize,nafikili waweza kwenda hata pale fisheries Nyegezi malimbe iwapo upo Mwanza watakupa mwanga wa unachohitaji.hongera kwa bidii ya kusaka noti

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Habari za leo,

Nimenunua shamba ekari 12 kando na Ziwa Victoria.

Upande wa Kusini napakana na Ziwa Victoria na Kivuko.

Now nawaza je kuna sheria yeyote ya mtu anayeishi Kando ya Ziwa.

Mfano;

Nyumba inatakiwa kukaa 30 meters every side ya main road.

Naomba ushauri kwa experienced and professional people.

Nataka kuanzisha ufugaji wa kisasa.

Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app

Maeneo gani mkuu? Vipi mashamba bado yanapatikana huko?
 
Back
Top Bottom