Habari za leo,
Nimenunua shamba ekari 12 kando na Ziwa Victoria.
Upande wa Kusini napakana na Ziwa Victoria na Kivuko.
Now nawaza je kuna sheria yeyote ya mtu anayeishi Kando ya Ziwa.
Mfano;
Nyumba inatakiwa kukaa 30 meters every side ya main road.
Naomba ushauri kwa experienced and professional people.
Nataka kuanzisha ufugaji wa kisasa.
Thanks
Sent using Jamii Forums mobile app