Silaha zinamilikiwa na familia zote hata kwenu, labda matumizi ndiyo yanatofautiana.....kumbuka vitu kama mapanga, visu, wembe, nyundo, sime, bunduki, sulphur na vinginevyo ni silaha.
Sahihi kabisa, tena jeshi la polisi lilivyo dhaifu kila mwananchi inabidi awe na bastola nyumbani, nenda kituo cha polisi utapata taratibu zote za kupata kibali cha kumiliki silaha. Ukitumia kinyume na taratibu wa kulaumiwa ni wewe mwenyewe.