Ndo rahis kufanyahuku,vijana
wamekalia
premier betting
meridian betting
sports pesa
Biko na 3 mzuka.
Nakumbuka nilikuwa mchoraji mzuri enzi niko school Kuna tukio lilinitokea likapoteza kabisa kipaji changu dah😢
Ulimwengu wenye watu wanaofikiri mawazo sawa, nakutenda vitu sawa, ni sawa sawa na ulimwengu uliosimamahuku,vijana
wamekalia
premier betting
meridian betting
sports pesa
Biko na 3 mzuka.
Allamdullah niko salama mkuu.
Sio huku tu hata huko hali ndio mbaya zaidi ya Nigeria bora Bongohuku,vijana
wamekalia
premier betting
meridian betting
sports pesa
Biko na 3 mzuka.
Arrgh, that's sad ...Nakumbuka nilikuwa mchoraji mzuri enzi niko school Kuna tukio lilinitokea likapoteza kabisa kipaji changu dah😢
Mm pia mchoraji,nina binti yangu anachora kwa kiwango ambacho hata mm baba ake japo mchoraji huwa nikiona picha zake natoa chozi maana sioni pa kumuwepa panapostahili kipaji chake
Sio kila mmoja awe mchorajihuku,vijana
wamekalia
premier betting
meridian betting
sports pesa
Biko na 3 mzuka.
Mm pia mchoraji,nina binti yangu anachora kwa kiwango ambacho hata mm baba ake japo mchoraji huwa nikiona picha zake natoa chozi maana sioni pa kumuwepa panapostahili kipaji chake
Mungu anajua,acha dogo amalize chuo kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app