Kachumbi
Member
- Aug 26, 2014
- 70
- 30
Nipo Mwanza nafuatia baadhi ya michezo kuona kuona vipaji vya vijana wetu, takribani ya asilimia 70 ya michezo ya Moira niliona, nimeshangazwa na kanda ya Zanzibar kucheza Mpira mzuri kwa upande wa mpira wa miguu wavulana, na kwa taarfa ndo mabingwa UMISETA Mpira wa miguu.
Urojorojo wao ambao huwa naskia sijaona.
Urojorojo wao ambao huwa naskia sijaona.