kuna michezo ya umiseta kwa shule za sekondari inayoendelea katika jiji la Mwanza,cha shugaza vyombo vya habari kwa upande Wa michezo havizungumzii mashndano hayo,ukiangalia vipaji vingi vinatokea huku,pia profile la mshiriki linaimarika kupitia huku,kaz kuzungumzia taifa starz tu ,kumbe kote siasa tupu.