Umiss sasa kwa kadi ya kliniki

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Hii ni kutoka kwa kamati ya miss Tanzania kwamba kuepusha utata wa umri na udanganyifu kamati imeamua kuanzia sasa warembo wote wanaotaka kugombea taji hilo maarufu waonyeshe pia na kadi zao za kliniki

Yaani baada ya sekeseke la binti mtemvu ndio kamati imekuja na ufumbuzi huu...!

======================================================================================================================

CHANZO: Mwananchi
 
mkuu, hizo kadi za kliniki zinatolewa na malaika??
 
Upuuuzi tu na kutupotezea muda
 
Hakuna kudanganya umri tena

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Sasa huyo atakuwa miss au mrs?

Kiukweli na kiuhalisia kabisa mamiss wengi ni mamrs wasio rasmi wengi wao walishatotoa na kuua zaidi ya mara moja....!!!
 
Kiukweli na kiuhalisia kabisa mamiss wengi ni mamrs wasio rasmi wengi wao walishatotoa na kuua zaidi ya mara moja....!!!
Ukweli ndo huo saiz wakitaka mamis wchukue miaka 12 hao hata kama wanakuwa hawana utepe lakn kuchomoa mimba wanakuwa bado
 
bibi bomba arudishe taji la watu kwanza
 
Wawe wanachekiwa kama ni virgin, na iwe ojii kama ni ya kichina hakuna kushiriki.
 
Sasa cheti cha Kliniki watakuwa wanawapima pia Ultrasound hahaha
 
Itabidi wazazi wanaotaka watoto zao kuwa ma miss wahifadhi kadi za clinic...... hii itakua imesaidia wazazi kupanga future ya mtoto pindi anapozaliwa.....hihihihi Daaaah ama kweli!!!!
 
Itabidi wazazi wanaotaka watoto zao kuwa ma miss wahifadhi kadi za clinic...... hii itakua imesaidia wazazi kupanga future ya mtoto pindi anapozaliwa.....hihihihi Daaaah ama kweli!!!!

Hahahahaaaaa
 
mshana jr ..miss tz na miss universe ni vitu viwili tofaut kabiSaaaa.

Miss tz inaandaliwa na lino agency ya lundenga

Miss universe inaandaliwa na compass comm. Ya maria sarungi t.
 
Last edited by a moderator:
mshana jr ..miss tz na miss universe ni vitu viwili tofaut kabiSaaaa.

Miss tz inaandaliwa na lino agency ya lundenga

Miss universe inaandaliwa na compass comm. Ya maria sarungi t.

Asante kwa ufafanuzi neggirl
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…