kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 19,257 Reaction score 12,244 Oct 29, 2014 #21 makubazi said: Kwa mi naona na cheti cha ndoa pia Click to expand... Sasa huo utakuwa ulimbwende au uanandoa?
makubazi said: Kwa mi naona na cheti cha ndoa pia Click to expand... Sasa huo utakuwa ulimbwende au uanandoa?
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 19,257 Reaction score 12,244 Oct 29, 2014 #22 KIKOSIKAZI said: Mi naona kusiwe na ukomo wa umri, wala uzazi. Click to expand... We ni Mziwanda nini?
KIKOSIKAZI said: Mi naona kusiwe na ukomo wa umri, wala uzazi. Click to expand... We ni Mziwanda nini?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Oct 29, 2014 Thread starter #23 kichomiz said: Sasa huo utakuwa ulimbwende au uanandoa? Click to expand... Ulimbwende ndani ya ndoa! Mama yuko jukwaani anatangazwa mshindi au anajinadi mtoto anamkimbilia anataka nono..!!!
kichomiz said: Sasa huo utakuwa ulimbwende au uanandoa? Click to expand... Ulimbwende ndani ya ndoa! Mama yuko jukwaani anatangazwa mshindi au anajinadi mtoto anamkimbilia anataka nono..!!!