#COVID19 UMITASHUMTA na UMISETA ihairishwe kupisha janga la Covid-19

#COVID19 UMITASHUMTA na UMISETA ihairishwe kupisha janga la Covid-19

tatamajuva

Member
Joined
Sep 11, 2019
Posts
74
Reaction score
84
Michezoi ya Umitashumta na umiseta imekuwa ikiendelea kipindi hiki kuanzia ngazi za shule,kata,wilaya na mkoa ili kuendelea taifa.
Serikali Haina budi kusitisha michezo hii ili.

Kusubiri wimbi hili la ugonjwa wa Covid-19 lipungue au kwisha kabisa kwani washiriki wa michezo hii ni chini ya miaka 16 /18 na umri ambao hawawezi kuchukua tahadhari kwa ugonjwa huu.

Hivyo tunahitaji kulinda afya za watoto hawa kwanza kabla ya kuanza mashindano hayo.

Hilo siyo suala la kupuuza kwani tunaona Hali ilivyo katika maeneo mbalimbali duniani mano India.

Aidha kamati iliyoundwa na mh.Rais kuchunguza na kufanya utafiti wa uwepo Covid-19 na wingi wake bado haijakamilika.

Hivyo michezo kwa watoto wadogo isubiri Kwanza.
 
Back
Top Bottom