LGE2024 Ummy: Mchagueni Mgombea mnayejua kwao, mkiona anajichokifanya hakiendani na matakwa yenu mnaweza kwenda kwa baba yake kumwambia huyu haendi vizuri

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Attachments

  • Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    420.8 KB · Views: 1
  • 20240907_095744 (1).jpg
    20240907_095744 (1).jpg
    116.1 KB · Views: 1
  • IMG-20200726-WA0000.jpg
    IMG-20200726-WA0000.jpg
    43.7 KB · Views: 1
2025 inakuja kuna mtu ambaye mpaka leo baba yake hatumjui. Ajitokeze atwambie kama ambavyo "kwa kudra za Mwenyezi Mungu" alituambia huyu mdogo wake ana wajomba Oman, chifu wa sasa mwenyewe atueleze baba yake yuko wapi na kama alizikwa ni wapi na ukoo upi.

Inawezekana tunateseka bure kumbe mtu hata sio wetu ndio maana mara wajomba wanapewa mwendokasi waendeshe, mara wanapewa bandari na hamna tenda wala uwazi. Wanalala tu wanaamua wahamishe wilaya na kabila zima makazi.

Tumjue Chifu Burito tushindwe kumjua mtoa suluhisho. Maybe they are impostors masquerading as Tanzanians, who knows?
 
Taratibu bwashee
 
Back
Top Bottom