iamwangdamin
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 864
- 1,798
“As we are celebrating the life of the late Benjamin Mkapa, I would like to also mention that the National Health Insurance Fund is also a legacy of His Excellency Mkapa who started the initiative during his presidency”, says Ummy Mwalimu at the 2nd National Human Resource for Health Conference,a pre-event of the #MkapaLegacySummit July 29-31,2024
========
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ahudhuri Kongamano la Kitaifa la rasilimali watu linalofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar Es Salaam wenye lengo la kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Afya.
Kongamano hilo linatarajiwa kufunguliwa na Waziri wa Afya Mhe. @ummymwalimu linalofanyika leo Julai 29, 2024 ambalo ni utangulizi wa Mkutano wa Tatu ambalo limewakutanisha wadau wa maendeleo katika Sekta ya Afya kutoka ndani na nje ya nchi, watunga sera, wadau wa sekta mbalimbali na wataalamu wa afya watajumuika kuenzi urithi na maono ya Hayati Rais Benjamin Mkapa.
"Kadri tunavyoadhimisha maisha ya marehemu Benjamin Mkapa, ningependa pia kutaja kwamba Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya pia ni urithi wa Mheshimiwa Mkapa ambaye alianzisha mpango huu wakati wa urais wake," alisema Ummy Mwalimu