Gai da seboga
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 515
- 1,015
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Tanga Mjini amemtangaza Mgombea Ubunge wa CCM kwenye Jimbo hilo Ummy Mwalimu kuwa Mshindi kwa kupata kura 114,445 sawa na 93.8% akifuatiwa na Mgombea wa CUF Mussa Mbarouk mwenye kura 7497 sawa na 6%.
-----------------
Piga kelele kwa Odo akeee [emoji108][emoji108]#OdoUmmyAtosha #OdoWaUkweli #ChaguolaWanaTanga
-----------------
Piga kelele kwa Odo akeee [emoji108][emoji108]#OdoUmmyAtosha #OdoWaUkweli #ChaguolaWanaTanga