Gai da seboga
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 515
- 1,015
Wew umejitoa kwenye upinzani na Jana nchi wewe ni nan? Alien๐Cha ajabu sasa kushinda kwa CCM sio kitu cha kushtua au kufurahisha tena. Tutaona na kusikia mengi, je wapinzani wataisomaje hali hii na wananchi wataionaje.
Andika uelewekeWew umejitoa kwwnye upinzani na Jana nchi wewe ni nan? Alien๐
Shetani anamjua shetani mwenzieHuyu dada uzuri wote huo lakini dah! kajichagulia kuwa shetani
Babu Tale alipita bila kupingwa ila kuna fununu Mwana FA anaongoza sijajua mpk mwishoHongera yake mama mpambanaji,
Mwana FA nae huko vipi?
Babu Tale je?
Walioshinda hawana furaha wala walioshindwa hawana furaha.Cha ajabu sasa kushinda kwa CCM sio kitu cha kushtua au kufurahisha tena. Tutaona na kusikia mengi, je wapinzani wataisomaje hali hii na wananchi wataionaje.
Ahsante kwa taarifa hii nzuri,Babu Tale alipita bila kupingwa ila kuna fununu Mwana FA anaongoza sijajua mpk mwisho
a.k.a kiboko ya Covid -19....hahahaha...Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Tanga Mjini amemtangaza Mgombea Ubunge wa CCM kwenye Jimbo hilo Ummy Mwalimu kuwa Mshindi kwa kupata kura 114,445 sawa na 93.8% akifuatiwa na Mgombea wa CUF Mussa Mbarouk mwenye kura 7497 sawa na 6%.
-----------------
Piga kelele kwa Odo akeee [emoji108][emoji108]#OdoUmmyAtosha #OdoWaUkweli #ChaguolaWanaTanga View attachment 1615515
๐๐๐๐๐watu...Ummy Mwalimu mwaaa,,,,I love u so much bin dada.
nishakupigia nyeto zaidi ya mara elfustini,,mwaaaaa,,,mwaaa,mwaaaa,I kiss U,,mwaaa.
FA ameshinda piaAhsante kwa taarifa hii nzuri,
Naimani hata Fa atakua kashinda