Uchaguzi 2020 Ummy Mwalimu kuchukua fomu ya NEC kesho kuwania Ubunge Tanga Mjini

Huyu atashinda kwa kila njia, natumai jicho la ikulu litakuwa Tanga Mjini kuanzia mwanzo wa kampeni mpaka siku ya kutangaza mshindi.
 
Hivi huyu dada kaolewa au chakula cha wanachama
 
Usafiri utakuwepo kwa.sisi.wa Mikoa ya.Mbali.huku?
 
Upinzani ulichukua hilo jimbo kwa nguvu za lowassa lakini leo wapinzani hao hao wanamtukana lowassa.
Ngoja tuone kama wataweza kulitetea hilo jimbo.
Ninachoamini. Upinzani kwa mkoa wa Tanga, hawatapata kata na jimbo hata moja. Sio lissu, sio cdm wala sio act.
 
Wale wa Tanga ni sawa, watu wenyewe ni ewala.
 
2020 TANGA Ya Kijani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…