ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Pamoja na kwamba wapo Mawaziri ambao wamekuwa Barazani Kwa zaidi ya miaka 14 ila kudumu miaka 9 kama Waziri kwenye Wizara 1 tuu ni rekodi ambayo ameiweka Ummy Mwalimu.
Ukidumu mda mrefu kunakupa nafasi ya kuacha legacy hasa kwenye Wizara hizi za kimaendeleo na Huduma achilia mbali Wizara za Utawala ambazo sio rahisi kudumu mda mrefu.Sina shaka na Hilo Ummy ameacha Legacy Wizara ya Afya kwenye maeneo mbalimbali.
Soma Pia: Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya
Pamoja na hayo,hatari iliyoponi kuzoea kazi na kuniundia la syndicate Kako ambapo watu Fulani wanakuwa royal kwako na kutimiza wengine ikiwemo kutengeneza chain ya upigaji.👇👇
My Take: Kwa miaka hiyo 14 nadhani inatosha na wengine waje waweke input Kwa mstakabali wa Umma.
ChoiceVariable Kwa Sasa Orkesimet, Simanjiro-Tanzania.
==========
Usiku wa Agosti 14, 2024 unaweza usisahaulike haraka katika maisha ya kisiasa ya Ummy Mwalimu.
Hii inatokana na uamuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kumweka kando katika mabadiliko madogo aliyoyafanya katika Baraza lake la Mawaziri.
Ummy ambaye ni Mbunge wa Tanga Mjini (CCM) ni miongoni mwa mawaziri wachache waliodumu katika Baraza la Mawaziri kama wawaziri kamili kwa takribani miaka tisa mfululizo. Alihama kutoka hapa kwenda pale.
Ukijumuisha miaka tisa ya uwaziri na miaka mitano ya naibu waziri kuanzia mwaka 2010 hadi 2015, Ummy anakuwa na miaka 14 ndani ya baraza la mawaziri akihudumu katika tawala tatu. Ya Jakaya Kikwete, John Magufuli na sasa ya Samia Suluhu Hassan.
Ummy amekuwa mmoja wa mawaziri waliohudumu Wizara ya Afya kwa kipindi kirefu na ndani ya utawala wa awamu ya tano ulioingia madarakani Novemba 5, 2015 ulipounda Serikali Desemba mwaka huo hadi ulipokoma Machi 17, 2021 alikuwa wizara hiyo.
Huo ulikuwa utawala wa Rais John Magufuli ambaye alifariki dunia Machi 17, 2021 na nafasi yake kushikwa na Samia ambaye wakati huo alikuwa Makamu wa Rais.
Katika utawala wa Magufuli, Ummy ambaye kitaaluma ni mwanasheria, alikuwa miongoni mwa mawaziri sita ambao hawakuwa wanaguswa kwenye panga pangua.
Wengine ambao hawakuguswa na wizara zao kwenye mabano ni, Jenista Mhagama (Sera, Bunge, Uratibu), Profesa Joyce Ndalichako (Elimu), William Lukuvi (ardhi) na Dk Philip Mpango (Fedha na Mipango) na Dk Hussein Mwinyi wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
Kwa sasa Dk Mpango ni Makamu wa Rais wa Tanzania na Dk Mwinyi ni Rais wa Zanzibar.
Ummy aliyezaliwa Septemba 5, 1973 alikuwa sehemu ya baraza la kwanza la Magufuli alilolitangaza Desemba 10, 2015 alipoteuliwa kuwa Waziri wa Afya.
Mwananchi