Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Afanyaje sasa.... lazima kuchutama mkuuAnajikaza ili aambulie hata ka u DC
huyo ummi tatizo lake ndiyo iloAliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Tanga, Ummy Mwalimu, amehudhuria uzinduzi wa kampeni za kumnadi na kumuombea kura ya ndiyo Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, pamoja na Mgombea Ubunge wa CCM katika Jimbo la Tanga, Kassim Amar M’baraka (Makubel), katika mkutano uliofanyika katika Viwanja vya Majengo, Jijini Tanga.
Akihutubia mamia ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano huo, Ummy Mwalimu amesema hana sababu ya kususa baada ya kutopitishwa tena kuwania ubunge, kwa kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemheshimu na kumpa nafasi za juu katika uongozi kwa muda mrefu.
Soma pia
- GE2025 - Ummy Mwalimu adondokea pua jimbo la Tanga Mjini, nafasi yake yachukuliwa Kassim Baraka
- GE2025 - Ummy Mwalimu: Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kwa moyo wa shukrani
Ameeleza kuwa amehudumu kama Mbunge kwa miaka 15 na pia ameshika nyadhifa mbalimbali za Uwaziri kwa kipindi cha miaka 14, hivyo hana sababu ya kuwa na hasira au kukasirika, kwani kufanya hivyo ni sawa na kumkosea Mungu
“Siwezi kususa, nimsusie nani? CCM imeniheshimu sana mimi mtoto wa Kidogo. Nimehudumu kama Mbunge kwa miaka 15 na nimepewa dhamana ya kuwa Waziri kwa miaka 14. Nikikasirika, nitakuwa namkosea Mungu,” amesema Ummy Mwalimu kwa msisitizo.
Aidha, alisifu uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, akisema umetekeleza mambo makubwa na ya kihistoria yanayostahili kuendelezwa kwa maslahi ya Taifa.
Mkutano huo ulihudhuriwa na maelfu ya wananchi wa Jiji la Tanga waliokusanyika kusikiliza sera na mikakati ya wagombea wa CCM kuelekea uchaguzi mkuu ujao.
View attachment 3467336
Source: Clouds
Hili ndilo linalomtisha OddoUkisusa Abdul anapita na wewe mazima
Kwa sababu unajua uko guilty, leo hii watanzania wasingejua kuwa bimkubwa ni chapombe ni sababu ya kamdomo kako lazima uwe mdogo kama Pirton.Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Tanga, Ummy Mwalimu, amehudhuria uzinduzi wa kampeni za kumnadi na kumuombea kura ya ndiyo Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, pamoja na Mgombea Ubunge wa CCM katika Jimbo la Tanga, Kassim Amar M’baraka (Makubel), katika mkutano uliofanyika katika Viwanja vya Majengo, Jijini Tanga.
Akihutubia mamia ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano huo, Ummy Mwalimu amesema hana sababu ya kususa baada ya kutopitishwa tena kuwania ubunge, kwa kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemheshimu na kumpa nafasi za juu katika uongozi kwa muda mrefu.
Soma pia
- GE2025 - Ummy Mwalimu adondokea pua jimbo la Tanga Mjini, nafasi yake yachukuliwa Kassim Baraka
- GE2025 - Ummy Mwalimu: Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kwa moyo wa shukrani
Ameeleza kuwa amehudumu kama Mbunge kwa miaka 15 na pia ameshika nyadhifa mbalimbali za Uwaziri kwa kipindi cha miaka 14, hivyo hana sababu ya kuwa na hasira au kukasirika, kwani kufanya hivyo ni sawa na kumkosea Mungu
“Siwezi kususa, nimsusie nani? CCM imeniheshimu sana mimi mtoto wa Kidogo. Nimehudumu kama Mbunge kwa miaka 15 na nimepewa dhamana ya kuwa Waziri kwa miaka 14. Nikikasirika, nitakuwa namkosea Mungu,” amesema Ummy Mwalimu kwa msisitizo.
Aidha, alisifu uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, akisema umetekeleza mambo makubwa na ya kihistoria yanayostahili kuendelezwa kwa maslahi ya Taifa.
Mkutano huo ulihudhuriwa na maelfu ya wananchi wa Jiji la Tanga waliokusanyika kusikiliza sera na mikakati ya wagombea wa CCM kuelekea uchaguzi mkuu ujao.
View attachment 3467336
Source: Clouds
Sahihi mkuu.Hili ndilo linalomtisha Oddo