Miafrika ndivyo yalivyo sijawahi sikia mtu kanyimwa visa ya kwenda Palestina, Iraq, Somalia, Sudan huko mbona watu hamlilii kwenda au mntaka kwa wazungu tu?
Acheni kulalamikia nchi za watu bana. Aaaah....kwani ukinyimwa viza ndo mwisho wa maisha? Kama watu hawataki wewe uende nchini kwao basi....sio kulia lia kaa mtoto aliyenyimwa peremende. Miafrika bana..
Amakweli leo nimeamini baadhi ya waafrika ni viumbe wa ajabu kabisa!(Wewe ni mmoja wapo!)
We unasema hivyo kwakuwa ushazamia ughaibuni na 'makartas' yamekaa shwari?
Kuna watanzania kama wewe wanahitiji 'kujaribu' kutimiza ndoto zao!