Kwahiyo kwenye hicho chama mnaitanaje? au Boyfriend pia!Umoja Wa ma Boyfriend wasumbufu Tanzania(UBOTA) ...Tunependa kuwatangazia wana chama wetu kua bado kauli mbiu yetu ni ile ile "NTAKUOA MWAKANI" usijaribu wala kushawishika kuingia kwenye ndoa maana walio ndani ya ndoa wanataka kutoka....!!
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
*UBOTA OYEeeeeH*
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Bakini na hamu zenu[emoji23]
OyeeUmoja Wa ma Boyfriend wasumbufu Tanzania(UBOTA) ...Tunependa kuwatangazia wana chama wetu kua bado kauli mbiu yetu ni ile ile "NTAKUOA MWAKANI" usijaribu wala kushawishika kuingia kwenye ndoa maana walio ndani ya ndoa wanataka kutoka....!!
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
*UBOTA OYEeeeeH*