Umkontho we Sizwe
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 497
- 466
We support you Fantasia...keep on....Africa lazima iungane Kwanza ndipo itachukua nafasi yake katika taswira ya maamuzi yanayoindesha dunia iliyodanganywa...toa maoni yako. Wanyama Wana akili Sana, binadamu ni mnyama... kinachomtenganisha na hayawani wengine ni maamuzi yake kukabilianana na mazingira na changamoto husika...kubali ama kataa kwa kutoa chanzo Cha hoja, tatizo na masuluhisho... Asante Sana ndugu karibuni
Amen! Duh jamani nikisikia Member wa JF ametwaliwa huwa naumia kama vile nimeondokewa na ndugu yangu wa damu! Rip Lerato!Upumzike kwa amani