Umoja ni nguvu

mzungute

Member
Joined
Jun 4, 2013
Posts
6
Reaction score
3
Nadhani ndugu zangu tunajua kwamba bila umoja hakuna litakalowezekana katika haya maisha na sidhan kama nijambo la busara kufikiria kuvunja muungano wetu..Nadhani ndio sababu ya Muumba wa dunia hii kutuumba lasivyo angalimwacha Adamu pekeyake..jambo kuu nikuangalia maslah ya pande zote kihaki bila uonevu.Tanzania ni nzuri tena inapendeza sana.
 
Jukwaa la siasa linakufaa sana, karibu jf.
 


ni kweli kabisa maana bila ushirikiano hatuwezi kufika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…