Umoja ni nguzo kuu ya maendeleo ya nchi na uwazi kwa wananchi

Umoja ni nguzo kuu ya maendeleo ya nchi na uwazi kwa wananchi

TozzyMay

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2023
Posts
482
Reaction score
1,787
Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu \ Kidole kimoja hakivunji chawa

JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA (THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA)

Huwa Najiuliza je, Muungano wetu TANZANIA ni kweli umekamilika? Kuna Haja gani kubwa ya kuwa na Serikali mbili? Kwanini tusiwe na serikali moja?

Serikali ya wananchi wa JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA. Bajeti ingekuwa ni Moja. Mbona Jeshi letu Moja?
 
Back
Top Bottom