Umoja wa Afrika(AU) uhamie Tanzania

Tz ni mwanachama wa jumuiya za kimataifa kama SADC, AU, EAC, UN, COMMONWEALTH NK.
Tz ina uwezo wa kusimama yenyewe bila msaada, lakini kuna itifaki ya SADC kwamba adui akimchokoza mwanachama mmoja basi amechokoza SADC nzima, South Africa ni mwanachama aliyeendelea kwa sayansi na teknolojia hivyo itapobidi kuhitaji teknolojia toka kwao tutaipata tu, ni vivyo hivyo kwa jumuiya zingine za kimtaifa zilizobaki. Ghaidi atahitaji kujipanga. Kama ulikuwa mdogo sijui, Tz na uwezo wake huo unaodhani ni mdogo iliwahi kumfurumusha Botha na majeshi yake Shelisheli ikayasindikiza chini ya mitutu ya manowari, helikopta na ndege vita za TPDF hadi mpakani kwao na Mozambique, Botha alipopata habari hizo alienda kutundikiwa dripu, hakuamini ni Tz inaweza kufanya kitu kama hicho. TPDF hailazimiki kuhitaji nuclear, TPDF imewekeza kwenye brain, ina uwezo wa kutumia silaha hizo za teknolojia hata kama hainazo, kule Uganda TPDF ilitumia silaha chache sana za kwake, asilimia kubwa ya silaha ilizotumia ni za Iddi Amin, TPDF ilikuja na akili ya vizia, teka, twaa silaha, shambulia.
 
umesahau kwamba Tanzania kuna UGAIDI na kesi ipo mahakama kuu inaendelea.
 
umesahau kwamba Tanzania kuna UGAIDI na kesi ipo mahakama kuu inaendelea.
Mkuu,
Achana na ughaidi tu, hata uhaini uliwahi kuwepo na ukapelekwa Mahakamani, haki ikatendeka na nchi iko salama na maisha yanaendelea...
 
Nimeupenda huu uzalendo..

Kuna muda inabidi tujivunie hata hivi vidogo tulivyonavyo tusibeze tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maybe Accra,ila tz hawawezi yaleta hayo makao makuu.jiji letu la dodoma bado halijawaha jiji la kimataifa km nairobi,accra ,cape town na kwingineko
 
Naunga mkono HOJA.....

Haiwezekani makao makuu ya Afrika yakawa eneo lisilojifunza UMUHIMU WA AMANI ,UTULIVU NA UPATANISHI.....

Tunajivunia kuwa na baba wa Taifa aitwaye Julius Kambarage Nyerere.....huyu bwana ni tofauti sana na mababa wa taifa wa nchi nyingine za AFRIKA......angalia na chunguza UTANG'AMUA......


SIEMPRE EL COMANDANTE JULIUS KAMBARAGE NYERERE HASTA LA VICTORIA EL COMANDANTE JULIUS KAMBARAGE NYEREREπŸ™
 
Unaandika kwa maherufi makubwaa, unatufokea?
 
😍
 
😍
 
Amani wakati kuna kesi za kubambikia ugaidi zinaendelea huko?Unafikiri watu wakiamua kutafuta haki mitaani kutakalika?
Hakika hakuwezi kamwe kukalika kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…