MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
EU au Umoja wa bara Uropa umetoa tamko la kutizama upya uuhusiano wao na Tanzania, hili wamelisema linatokana na matukio ya ukiukwaji wa sheria na haki za kibinadamu Tanzania
-------------------------------------------------
Duh! Bashite bora angeishia kwenye yale ya kuvamia vamia SHILAWADU, lakini naona kagusa pabaya, yaani pamoja na serikali kujaribu kujitoa kwa kumkana lakini bado bado mtafuatwa, mliijiingiza wenyewe kwenye kumi na nane zao hawa, muwachane kabisa na mabwabwa wao watanue watakavyo huko.
Ikumbukwe Marekani tayari ilitoa tahadhari kwa raia wake.
-----------------------------------------------------------
Dar es Salaam. The European Union now says it would be carrying out “a broader review of its relations with Tanzania” as the diplomatic tiff with Dar authorities intensify.
The EU office in Dar es Salaam on Monday, November 5, 2018 released a short statement in which it suggests its fallout with Tanzania may have been due to concerns about human rights issues and the rule of law.
“The EU regrets the deterioration of the human rights and rule of law situation in the country (Tanzania) and will be conducting a broader review of its relations with Tanzania,” read the statement released on Monday evening. It was posted on the website of EU office in Dar es Salaam.
EU now says to conduct broader review of its relation with