Umoja wa bara Uropa waiweka Tanzania kwenye darubini yao, kisa masuala ya ukiukwaji wa sheria na haki za kibinadamu

Status
Not open for further replies.

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
EU au Umoja wa bara Uropa umetoa tamko la kutizama upya uuhusiano wao na Tanzania, hili wamelisema linatokana na matukio ya ukiukwaji wa sheria na haki za kibinadamu Tanzania

-------------------------------------------------
Duh! Bashite bora angeishia kwenye yale ya kuvamia vamia SHILAWADU, lakini naona kagusa pabaya, yaani pamoja na serikali kujaribu kujitoa kwa kumkana lakini bado bado mtafuatwa, mliijiingiza wenyewe kwenye kumi na nane zao hawa, muwachane kabisa na mabwabwa wao watanue watakavyo huko.
Ikumbukwe Marekani tayari ilitoa tahadhari kwa raia wake.
-----------------------------------------------------------
Dar es Salaam. The European Union now says it would be carrying out “a broader review of its relations with Tanzania” as the diplomatic tiff with Dar authorities intensify.
The EU office in Dar es Salaam on Monday, November 5, 2018 released a short statement in which it suggests its fallout with Tanzania may have been due to concerns about human rights issues and the rule of law.
“The EU regrets the deterioration of the human rights and rule of law situation in the country (Tanzania) and will be conducting a broader review of its relations with Tanzania,” read the statement released on Monday evening. It was posted on the website of EU office in Dar es Salaam. 
EU now says to conduct broader review of its relation with
 
Watuache na nchi yetu, hatutaki mabwabwa

Hehehe! Tatizo mliwachokoza, mabwabwa unapambana nao kimya kimya sio kwa kiherehere kama alivyofanya Bashite, kumbuka bado mnawazungushia kibakuli cha kuombea misaada na mnawategemea waje kama watalii. Mnafaa kukausha na kujifanya hamuwaoni, kama ilivyo kule Zanzbar, nilikua naona wanawake wa Kizanzibari wamejisitiri kotekote lakini wanawake wa kitalii wanatembea mapaja nje nje, japo akithubutu mwanamke wa Kizanzibari hata anaweza kukamatwa.

Kabla mjitoe kwenye shimo alilowaingiza Bashite itachukua muda na kazi nyingi sana, waziri amejaribu kujitetea lakini kipodo bado kinatembea.
 
jamaa wamekandamizwa sana...
1. tundu lissu
2. diwani aliyechinjwa
3. albino injustices
4. wanahabari
5. waimbaji
6. mashoga/wasagaji sasa utaskia wanarushwa kutoka kwa majengo
Nowonder habari zote zinazoletwa humu hata ziwe ni habari za tz huwa zimeandikwa na wakenya..hakuna anayeweza kuthubutu kuandika habari kule.smh
typical LDC country...hapa kazi tu😀
 
Makonda kataka kunyoosha mabwabwa wa mkoa wake tu, nashangaa dunia nzima inatokwa povu,
Wacha nibaki na huu msemo wangu kwa sasa "MIMI PEKEE NDIO BADO BIKRA DUNIANI KOTE" sijatifua wala sijatifuliwa, waliobaki wote marinda hawana, wengine d.ud.yu zinanuka ma.vi.
Nnachoamini mimi hakuna dhambi kubwa kama hii, hata nikiua bado niko salama kwa Mungu.
Sodoma na gomora iliangamizwa sababu ya hii mi.se.nge.
 
Bashite kashindana na Ndovu kunya, matokeo ni kupasuka msamba...some leaders should be given a thorough street beating.
 
Masikini wanaodhani wanaweza pambana na E.U. Ni ngumu sana kuelewa hawa watu.
 
Let them go. They are supposed to give us directives how to rule our country. Go away
 
HUYO BASHITE MWENYEWE NI SHOGA , GHAFLA NIKAKUMBWA NA MSHTUKO ETI ANAPAMBANA NA MASHOGA!!

HUYU NI MSANII TU ANAYETUMIA MBINU YA KUFICHA USHOGA WAKE KWA KUWATUHUMU WENGINE MASHOGA.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…