mfwimijr JF-Expert Member Joined Dec 11, 2014 Posts 203 Reaction score 152 Jan 20, 2017 #1 Umoja Wa ma Boyfriend wasumbufu Tanzania(UBOTA)... Tunependa kuwatangazia wana chama wetu kua bado kauli mbiu yetu ni ile ile "ntakuoa mwakani" usijaribu wala kushawishika kuingia kwenye ndoa maana walio ndani ya ndoa wanataka kutoka....
Umoja Wa ma Boyfriend wasumbufu Tanzania(UBOTA)... Tunependa kuwatangazia wana chama wetu kua bado kauli mbiu yetu ni ile ile "ntakuoa mwakani" usijaribu wala kushawishika kuingia kwenye ndoa maana walio ndani ya ndoa wanataka kutoka....
Imposibo_ JF-Expert Member Joined Feb 1, 2016 Posts 2,746 Reaction score 2,121 Jan 20, 2017 #2 Ha ha ha
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,515 Reaction score 28,506 Jan 20, 2017 #3 ha ha ha ha aiseeee hii UBOTA gharama ya uanachama ni kiasi gani aiseee??