Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
HAO SIYO MACHINGA NI UVCCM NA CCM KIUJUMLA HAPO HAKUNA MACHINGA.Wakuu!
Hawa Chawa wa Rais Samia wanajitahidi sana kufosi mambo ili ionekane Rais anapendwa 🤯
==
Generation Samia kwa kushirikiana na Umoja wa Machinga Dar es Salaam wameandaa Kongamano kubwa sana kwa ajili ya kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa mambo makubwa na mazuri anayowafanyia.
Kongamano hilo litafanyika Tarehe 24, May 2025 katika Viwanja vya Mnazi mmoja, Jijini Dar es Salaam.
View attachment 3342310
Spinning za kijinga sana hizoWakuu!

CCM mnavyojua kujitekenya na kucheka wenyewe!Wakuu!