Uchaguzi 2020 Umoja Wa Mataifa (UN) wasisitiza amani katika Uchaguzi Mkuu wa kesho Oktoba 28,2020

Uchaguzi 2020 Umoja Wa Mataifa (UN) wasisitiza amani katika Uchaguzi Mkuu wa kesho Oktoba 28,2020

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Wakati Watanzania wakijiandaa kushiriki Uchaguzi Mkuu kesho Oktoba 28, 2020, Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres ametoa wito mchakato huo ufanyike kwa amani

Guterres amehimiza Viongozi wa Vyama vyote vya Siasa pamoja na wafuasi wao kushiriki zoezi la Uchaguzi kwa amani na kuepuka vurugu huku akizitaka Mamlaka kuandaa mazingira salama yatakayoruhusu wananchi kutimiza haki yao ya msingi

====

As Tanzanians prepare to take part in the general elections scheduled for 28 October, the Secretary‑General calls on all national stakeholders to ensure that the polls are conducted in an inclusive and peaceful manner. In this regard, the Secretary-General recalls that an inclusive electoral process and a broad effective participation of political parties and their candidates, particularly women, remain essential for safeguarding the progress made by the United Republic of Tanzania in consolidating stability, democracy and sustainable development.

The Secretary-General urges all political leaders and their supporters to participate in this exercise peacefully and refrain from violence. He further calls on the authorities to provide a safe and secure environment, which will allow Tanzanians to exercise their civil and political rights.

The Secretary-General reiterates the commitment of the United Nations to support the country’s efforts to promote sustainable development and build a prosperous future.

Source: Statement attributable to the Spokesman for the Secretary-General - on the United Republic of Tanzania
 
The Secretary-General reiterates the commitment of the United Nations to support the country’s efforts to promote sustainable development and build a prosperous future.
Guteress, advocate HAKI/JUSTICE, and all will be alright!
 
Ni Bora wangesisitiza tumchague mtu wao tu ikafahamika!! Wanaogopa nini hawa Mabeberu??
 
Ni muda wa kuvuna mbivu ama mbichi .... ni muda wa kutenga pumba na mchelleee ... ni muda wa kutenga magugu na ngano safiii

Mungu ibariki Tanzania
 
Asante dunia, mwenye maskio na asikie.
 
Ni Bora wangesisitiza tumchague mtu wao tu ikafahamika!! Wanaogopa nini hawa Mabeberu??

Kama alie Ikulu anaetoka Chama tawala tangu tupate Uhuru ,Chama kimegawa Raslimali zetu nyingi kwa Mabeberu.Nna kumbuka aliwahi sana kulalamikia Mikataba ya Gesi ,ajatuaminisha kwenye madini tunapigwa mwisho akapigwa na yeye na tudola tuchacheee huku wengine tukisubiria Noah...
 
bdfc8a5f-1fc9-43bf-ae31-a7f696bb4b63.jpg

0cbadba3-415e-409a-8d11-f6e2d1753669.jpg

563cd657-783e-4dfe-ba9a-506e402eba9d.jpg

b1be258c-78af-4cf9-bb33-8a9a16170593.jpg

2ecf39b7-42f1-48a0-9d33-af9bf3564a2b.jpg

dcf7c705-415c-4bfb-af73-d15161af33b7.jpg

508a06d5-5dda-4f37-be9e-c9b07f67a5d7.jpg
 
Back
Top Bottom