Li ngunda ngali JF-Expert Member Joined Jun 22, 2023 Posts 707 Reaction score 2,572 Aug 20, 2024 #1 Duru ndani ya corridor za Umoja wa Ulaya hapa Nchini hivi karibuni unatarajia kutoa tamko la kusikitishwa na ukiukwaji haki za binadamu wa kutisha wanaofanyiwa Wamasai kule NGORONGORO.
Duru ndani ya corridor za Umoja wa Ulaya hapa Nchini hivi karibuni unatarajia kutoa tamko la kusikitishwa na ukiukwaji haki za binadamu wa kutisha wanaofanyiwa Wamasai kule NGORONGORO.
Ngurukia JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 4,407 Reaction score 16,942 Aug 20, 2024 #2 Masikitiko yao hayamzuii dalali mwanamke kuendelea na yake. Keshakunja mtonyo wake, hajali wala nini. Saa hizi yupo busy ku scroll designs mpya za abayah toka Oman.
Masikitiko yao hayamzuii dalali mwanamke kuendelea na yake. Keshakunja mtonyo wake, hajali wala nini. Saa hizi yupo busy ku scroll designs mpya za abayah toka Oman.
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 9,863 Reaction score 20,806 Aug 20, 2024 #3 Yaani wahuni wameshafanikiwa kabisa kumuondolea uhalali wa kugombea 2025 Kwa kumuingiza mkenge mama!! Salama yake ni kutangaza kutogombea! Cha kusikitisha chawa ndio wahuni wenyewe na sisi tunaotoa mbadala ndio marafiki!! Mama unatakiwa unifollow nikupe madini!
Yaani wahuni wameshafanikiwa kabisa kumuondolea uhalali wa kugombea 2025 Kwa kumuingiza mkenge mama!! Salama yake ni kutangaza kutogombea! Cha kusikitisha chawa ndio wahuni wenyewe na sisi tunaotoa mbadala ndio marafiki!! Mama unatakiwa unifollow nikupe madini!
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Aug 20, 2024 #4 Hii ni nchi huru, hivi Rais wa Bunge la Ulaya bado ni swahiba wake Lissu?
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Aug 20, 2024 #5 chiembe said: Hii ni nchi huru, hivi Rais wa Bunge la Ulaya bado ni swahiba wake Lissu? Click to expand... Viongozi wengi Wana uraia pacha Washamba Washamba ndio Wana passport ya bongo tu 😄😄
chiembe said: Hii ni nchi huru, hivi Rais wa Bunge la Ulaya bado ni swahiba wake Lissu? Click to expand... Viongozi wengi Wana uraia pacha Washamba Washamba ndio Wana passport ya bongo tu 😄😄