Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Canada hawezi kujiingiza katika mambo hayo. Take it from me.Hakuna anaye mchora. Unajua procedure za ndege kutua kwenye anga la nchi nyingine. Unaweza kuta wameomba watue Ila ndege ishikiliwe, maana Kuna abiria wa nchi ya Canada wamo humo
Wafanyabiashara wote wa Russia ni KGBKwenye hili wanaoumia Ni wafanya biashara sio Putin. Ndio maana wengine wanalazimisha kwenda hivyo hivyo.
Hamna kitu hapo. Ukiona BBC news zao za kujirudia rudia, hawana kipya tena hao CNN na BBC kwanza wamezuiliwa kufanya coverage ndani ya Kiev. Sasa hivi wanatunga tu habari.
Go Putin tupo nyuma yako watanzania wote.
Upo nyuma yake (umejificha?)au siyo kamanda😂😂😂Hamna kitu hapo. Ukiona BBC news zao za kujirudia rudia, hawana kipya tena hao CNN na BBC kwanza wamezuiliwa kufanya coverage ndani ya Kiev. Sasa hivi wanatunga tu habari.
Go Putin tupo nyuma yako watanzania wote.
Labda wewe ndio upo nyuma yake 😄Hamna kitu hapo. Ukiona BBC news zao za kujirudia rudia, hawana kipya tena hao CNN na BBC kwanza wamezuiliwa kufanya coverage ndani ya Kiev. Sasa hivi wanatunga tu habari.
Go Putin tupo nyuma yako watanzania wote.