Multaza Hr
Member
- Jan 10, 2025
- 83
- 182
Nimefatilia hawa jamaa wanajiita NETO nimejifunza mambo yafuatayo.
These guys are very smart and visionary.
Kuna hoja tatu nimeziona.
- Kuondoa swala la walimu kujitolea.
- Suala la kuhakikisha Serikali inazingatia vipimo sahihi Vya usaili.
- Kusitisha utolewaji wa course ya Education vyuoni
Niseme nawaunga mkono na wanafaa kuungwa mkono hii movement yao inabidi kuboreshwa na kuhakikisha hiki chama badala ya kuwa NETO -umoja wa walimu wasio na ajira kiwe umoja wa wasomi wasomi wasio na ajira Tanzania.
Ndo maana huwa nasema Vyama Kama Chadema , ,Act n.k ni vyama Vya watu wajinga Sana .
Hii movement ilikuwa ndo njia ya kuiondoa CCM madarakani endapo ingekuwa supported na wanasiasa Makini.
Hongereni Sana NETO nawaona mbali Kama mtaendelea na huu msimamo wenu pasipokushawishika na rushwa au hongo kutoka Kwa wanasiasa.