M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
WanaJF tuliooa maeneo tajwa (Machame & Mbeya-hususani KYELA) tunakusudia kwenda kuusajili Umoja wetu kama taasisi ya kutetea haki zetu pale inapotokea Kash-kash zozote katika ndoa zetu. Hivyo basi tunawaomba kwa umoja wetu tukutane tarehe 01/01/2017 (jumapili), pale SAMAKI-SAMAKI, MLIMANI CITY ili kuweza kupitia katiba yetu kifungu kwa kifungu kabla hatujapeleka kwa msajili. Asanteni,
Wenu Mtiifu;
(Signed)
0715143800
Katibu Mkuu (UMAMBE)
Wenu Mtiifu;
(Signed)
0715143800
Katibu Mkuu (UMAMBE)