Umoja wa waliooa Machame & Mbeya (UMAMBE)

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
WanaJF tuliooa maeneo tajwa (Machame & Mbeya-hususani KYELA) tunakusudia kwenda kuusajili Umoja wetu kama taasisi ya kutetea haki zetu pale inapotokea Kash-kash zozote katika ndoa zetu. Hivyo basi tunawaomba kwa umoja wetu tukutane tarehe 01/01/2017 (jumapili), pale SAMAKI-SAMAKI, MLIMANI CITY ili kuweza kupitia katiba yetu kifungu kwa kifungu kabla hatujapeleka kwa msajili. Asanteni,
Wenu Mtiifu;
(Signed)
0715143800
Katibu Mkuu (UMAMBE)
 
Nadhan mkiite UWAMAMBE na sio UMAMBE..!! Neno waliooa ndo neno muhim la umoja wenu kwahiyo ni lazima lijumuishwe..!!

Polen sana lakin..
 
Ungespecify kabisa mlio oa Machame na Kyela. Mbeya ni kubwa kama ulivyoogopa kusema Mkoa wa Kilimanjaro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…